• Time : Monday-Friday 08am-5pm
                                      
Help Desk
+255 777 690905
            
ZHSF HEAD QUARTERS
502 Kisonge Street, Michenzani Mall,

FAQ

Uchangiaji wa Mfuko utakua kwa Kaya na lazima kwa kila kaya inayoishi Zanzibar na wanachama ambao wapo Tanzania bara kwa shughuli za kikazi kuchangia. Hii inajumuisha - Wakaazi wote wa Zanzibar - Wanafunzi wa shule na vyuo vikuu - Wafanyakazi wa kigeni wanaotarajiwa kuishi Zanzibar kwa kipindi kisichopungua miezi sita (6).

Mfuko utapata mapato yake kupitia taasisi au mtu binafsi kupitia vyanzo hivyo. - Michango ya wanachama - Kodi maalumu - Ruzuku kutoka Serikalini - Misaada kutoka Washirika wa Maendeleo, Taasisi zisizo za Kiserikali, Kampuni Binafsi na Watu wenye Uwezo.